KILIMO BORA CHA
PILIPILI MBUZI
UTANGULIZI
Pilipili mbuzi ni zao ambalo linaweza kulimwa kibiashara na kumpatia faida nzuri mkulima. Zao hili huitaji mwanga wa kutosha wa jua (ingalau kiasi cha masaa 6 kwa siku)
Pilipili mbuzi ni zao ambalo linaweza kulimwa kibiashara na kumpatia faida nzuri mkulima. Zao hili huitaji mwanga wa kutosha wa jua (ingalau kiasi cha masaa 6 kwa siku)
Pilipili hustawi vizuri zaidi kwenye udongo wenye mbolea ya asili, undongo wenye unyevu nyevu ila usiwe wenye kutuamisha maji. Pilipili mbuzi huitaji udongo wenye pH 6.0 hadi 6.8, Ikiwa pH ni chini ya 6.0 ongezea madini chokaa kwenye udongo; Na ikiwa pH ya udongo imefika 8 onana na wataalam wa kilimo wakushauri namna ya kuipunguza.
KUANDAA MICHE
Mbegu za pilipili huoteshwa miche kwenye kitalu kabla ya kwenda kupandikizwa shambani. Pandikiza mbegu kwenye kitalu week 7 hadi 10 kabla ya kipindi ambacho umepanga kupandikiza miche shambani. Panda mbegu tatu tatu kwenye kila kishimo na chagua mbili zilizo chipua vizuri kwa ajili ya kuhamishi shambani.

KUHAMISHA MICHE SHAMBANI
Hamisha miche shambani ikiwa imetengeneza majani 8, ingawa kuhamisha ikiwa na majani machache au mengi zaid haitapelekea shida yoyote.
Hamisha miche shambani ikiwa imetengeneza majani 8, ingawa kuhamisha ikiwa na majani machache au mengi zaid haitapelekea shida yoyote.
MUHIMU...Unashauriwa kuhamisha miche shambani
kwa kuzingatia mambo yafuatayo.
Siku ya kwanza kwa lisaa limoja weka miche kivulini au mahali ambapo kuna kizuizi jua la moja kwa moja lisiifikie miche. Kadri siku zinavyo kwenda ruhusu miche kupata mwanga wa jua zaidi.
Chimba mashimo marefu kuzidi urefu wa mizizi ya miche kisha changanya vyema udongo na mbolea ya Ngo’ombe. Muda mzuri wa kuhamisha miche yako shambani ni jioni au kipindi ambacho jua limefifia kuepuka miche kukauka.

Changanya sulphur (Tembe 2) kwenye maji na kumwagilia na rudia mchanganyo huu kila baada ya week mbili. Sulphur husaidia kuuwa fungus, inauwa bacteria wasio faa, kuzuia magonjwa pia huasaidi mizizi kusambaa na kukua kwa haraka na kupata virutubisho.
Mwagilia miche maji ya kutosha baada ya kuihamishia shambani hiyo husaidia kupunguza stress za mmea unapobadilishiwa mazingira. Tumia mbolea ya Miracle Gro kila baada ya week mbili.
MAHITAJI YA MMEA
Pilipili ni zao lenye kuhitaji zaidi unyevu unyevu shambani ila maji yasiwe yenye ktuama. Kipindi ambacho maua yametoka na vitunda vya pilipili vimeanza kujitokeza, udongo ukiwa mkavu sana hauna unyevu wa kutosha hupelekea maua kudondoka. Epuka umwagiliaji ulio zidi mahitaji au ulio chini ya mahitaji. Unaweza kutandaza nyasi kwaajili ya kusaidia kuhifadhi unyevu shambani. Mmea huanza kutoa maua mapema baada ya kutengeneza matawi, Mau ya mmea hua na set iliyo kamilika (jike na dume) hivyo kuwa na sifa ya kuweza kujichavusha yenyewe. Upepo, wadudu au kwakutumia mkono husaidia kuongeza uchavushaji.

KUPALILIA
Pilipili zi zao ambalo halina mizizi mirefu sana, hivyo basi mkulima anapaswa kuzingatia hilo na kuongeza umakini wakati wa kupalilia kuepuka kukata mizizi.
Pilipili zi zao ambalo halina mizizi mirefu sana, hivyo basi mkulima anapaswa kuzingatia hilo na kuongeza umakini wakati wa kupalilia kuepuka kukata mizizi.
MAGONJWA
Pilipili inaweza kushambuliwa na magonjwa yafuatayo, blossom end rot, anthracnose, tobacco mosaic virus, bacterial spot, and mildew. Namna ya kulinda mimea yako dhidi ya magonjwa hayo weka shamba lako katika hali ya usafi na ondoa magugu shambani kuondoa sehemu za mazalia ya wadudu. Ondoa mimea iliyo athiriwa kabla ugonjwa haujasambaa shambani.

MAVUNO
Pilipili huwa tayari kwa kuvunwa siku 60 hadi 95 kutegemea na aina ya mbegu uliyotumia. Chuma kwa uangalifu bila kung’oa mmea ili uendelee kuzalisha. Muvuno yanaweza kudumu kwa muda wa mwezi 1 hadi 3.

USALAMA WAKATI WA UVUNAJI
Pilipili huwa na kemikali iitwayo capsaicinoids ambayo inaweza
kukuwasha kwenye ngozi au kwenye macho ikiwa utajigusa. Vaa gloves wakati wa kuvuna na kuwa mwangalifu usijiguse kwenye macho.
Pilipili huwa na kemikali iitwayo capsaicinoids ambayo inaweza
kukuwasha kwenye ngozi au kwenye macho ikiwa utajigusa. Vaa gloves wakati wa kuvuna na kuwa mwangalifu usijiguse kwenye macho.
SOKO
Fursa
Pilipili ni zao ambalo halina mbadala wake au (substitute) hivyo kufanya mahitaji yake kuwa ni ya muda wote bila kutetereka.
Fursa
Pilipili ni zao ambalo halina mbadala wake au (substitute) hivyo kufanya mahitaji yake kuwa ni ya muda wote bila kutetereka.
Changamoto
Muda ambao wakulima wengi wanakuwa wamezizalisha zaidi huathiri sana soko la pilipili kwa maana hata bei ikishushwa sana haiwezi kushawishi watumiaji kutumia pilipili nyingi zaidi.
Muda ambao wakulima wengi wanakuwa wamezizalisha zaidi huathiri sana soko la pilipili kwa maana hata bei ikishushwa sana haiwezi kushawishi watumiaji kutumia pilipili nyingi zaidi.
Kuepuka changamoto hiyo wakulima wanashauriwa
kupunguza huduma shambani hadi pale soko litakapo tengemaa vizuri.
MBINU ZA MAFANIKIO KWENYE KILIMO
1. ZALISHA KWA WINGI
Uzalishaji mkubwa husaidia sana kupunguza gharama ambazo haziepukiki yani (Fixed Cost). Ukizalisha kwa wingi kwa gharama ndogo utaweza pia uza bidhaa zako kwa bei ndogo na bado utapata faida nzuri na kujihakikishia soko la uhakika kwa bidhaa zako.

2. TAFUTA MASOKO YA BIDHAA KABLA YA KUANZA
UZALISHAJI
Mkulima mwenye mafanikio ni lazima pia awe mfanya biashara mzuri ukiachilia mbali kuwa mzalishaji mzuri. Mkulima ni vyema kutengeneza channels mapema kupata wateja wa mazao yako. Ukizalisha kwa wingi kwa gharama ndogo itakusaidia sana kwenye kupata masoko utakwa na ushawishi zaidi kwa wateja. Tengeneza wateja na wateja watakutengenezea biashara.

Mteja anataka vitu vitatu vya msingi.
-Unafuu wa bei
-Ubora wa zao
-Upatikanaji wa uhakika wa bidhaa
-Ubora wa zao
-Upatikanaji wa uhakika wa bidhaa
Ukijihakikishia hivyo vitu vitatu hapo juu
hapana shaka utakuwa umejihakikishia soko la uhakika
3. USILIME KWA KUFUATA MSIMU
Unapolima kwa kufuata msimu, mtajikuta wakulima wengi mmezalisha zao fulani kwa wiiingi kwa kipindi kimoja hivyo kupelekea upatikanaji wa zao hilo kuwa mkubwa kuliko inavyo hitajika kwenye masoko, jambo hili hupelekea mazao kuuzwa kwa bei ndogo na kupelekea wakulima kukosa faida ya kutosha au hata kupata hasara muda mwingine.

Unapolima kwa kutofata msimu mkulima utaweza
kuzalisha zao/mazao kipindi ambacho wengine hawazalishi hivyo mahitaji yatakuwa
makubwa na upatikanaji wa zao hilo utakuwa ni mdogo hivyo mkulima ataweza
kupanga bei nzuri kwa mazao yake.
(FANYA KILIMO CHA UMWAGILIAJI)
4. USIFANYE KILIMO KWA MAZOEA
-Tumia wataalamu wa kilimo
-Tumia njia za kisasa za kilimo
-Fanya utafiti wa ardhi dhidi ya zao unalotaka kufanya (Tumia wataalamu)
-Fanya kilimo cha umwagiliaji uweze kuzalisha kipindi ambacho wengine hawawezi kuzalisha ili uuze mazao yako kwa bei nzuri zaidi.

FAIDA ZA KUTUMIA PILIPILI
1. Pilipili inasaidia sana kusawazisha sukari kwenye damu
1. Pilipili inasaidia sana kusawazisha sukari kwenye damu
2. Ulaji wa pilipili kunaweza kunawasaidia
sana watu wanene (overweight) au wanao ugua ugonjwa wa kisukari. Hii ni kwa
mujibu wa timu ya watafiti katika Chuo Kikuu cha Tasmania, utafiti
iliyochapishwa katika American Journal of Clinical Nutrition, mwezi Julai 2006.
3. Utafiti huo pia umeonyesha kwamba kawaida
ya kula Pilipili kunaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kudhibiti na kusawazisha
insulini kwa 60%. baada ya kula chakula.
4. Pilipili husaidia kupunguza maumizi na
uvimbe kwenye tezi na vilevile huwasaidia wagonjwa wa rheumatoid na arthritis
kupata nafuu. Vile vile husaidia kuondoa mkusanyiko wa damu sehemu moja ya
mwili
5. Pilipili usaidia kufungua kwa haraka na kwa
ufanisi pua zilizoziba kwa mafua, kuruhusu kupumua kwa urahisi zaidi!
6. Pilipili pia husaidia kupunguza upatikanaji
wa saratani ya kwenye tumbo (Stomach Cancer)
7. Pilipili usaidia kuongezeka kwa kiwango cha
metabolic, ambayo husaidia kuchoma mafuta, ulaji wa pilipili kunaweza kuinua
kiwango na metabolic yako hadi 23% ndani ya masaa 3.
8. Kula pilipili usaidia kupunguza
cholesterol, na kupunguza kiasi cha fibrin katika damu
NOTE; Kula kupita kiasi ni hatari pia kwa afya yako
KWA MAONI NYONGEZA AU
USHAURI TUNAKARIBISHA MAWAZO YA WADAU WENGINE
KILIMO CHA PILIPILI
MBUZI (PILIPILI UGANDA)
MBEGU NA JINSI YA KUSIA/KUMWAGA.
Tafuta mbegu bora iliyoandaliwa kitaalamu kwa
Tz unaweza pata mbegu bora ya pilipili mbuzi kutoka Kampuni ya ..... AYEGRO
Group Ltd.Mbegu 100g zinatosha kupanda ekari moja.
Andaa kitaru chako vizuri chenye ukubwa wa
mita moja kwa sita ((1 x 6) m),Ili hewa iweze kuzunguka vizuri kwenye udongo
unashauriwa kutengeneza kitaru mbinuko.Kama una mbolea aina ya samadi iliyooza
vizuri (Well decomposed) changanya debe 3 kwenye kitaru cha mita moja kwa
sita.Hakikisha unachanganya vizuri udongo na samadi hadi ushindwe kutofautisha
kati ya samadi na udongo,baada ya kuchanganya samadi na udongo sasa sawazisha
vizuri,hakikisha hakuna mabongemabonge.
Kama huna mbolea ya samadi tumia DAP baada
kuanda kitaru chako rushia DAP kiasi cha 180g kwa kitaru cha mita moja kwa sita
au kwa lugha nyingine ni 30g kwa kila square mita moja
Baada ya kuweka mbolea tengeneza mistari
inayopishana kwa umbali wa sentimita 4 na baada ya hapo sia/mwaga mbegu zako
kwenye hiyo mistari NB:Usibananishe mbegu.
Baada ya kuweka mbegu kwenye hiyo mistari
fukia vizuri kwa kutumia udongo laini na kisha tafuta majani makavu na tandika
kitaru chako vizuri na baada ya hapo mwagilia maji ya kutosha kwa kutumia Keni
ya kumwagilia.
Mbegu zitaota baada ya siku 7-10 na baada ya
kuota toa majani na kama ni masika tengeneza kichanja na tandika juu ya
kichanja,kama ni kiangazi unaweza kuacha kuweka kichanja.
Siku mbili baada ya mbegu kuota mwagilia maji
ya kutosha na kisha pulizia Actara au dawa yoyote yenye kiambato sawa na
Actara.Pulizia dawa nyingi mpaka udongo ulowane zaidi(Drenching).Pima Actara
8g/20L.
Siku 4 baada ya mbegu kuota pulizia Ridomil
gold au ....pima 50g/20L. Baada ya siku 14 tangia upulizie Actara rudia
kupulizia tena na vivyohivyo kwa Ridomil gold na pia rushia Yaramila winner
kidogo.
Miche ya pilipili mbuzi hukaa kwenye kitaru
siku 30-35 na baada ya hapo unahamishia shambani.
UPANDAJI.
Andaa shamba lako vizuri,muonekano wa shamba
utategemea njia unayotumia kumwagilia.Panda kwa kuzingatia nafasi. Kutoka mmea
na mmea iwe kati ya 30-60 cm na mstari na mstari iwe kati ya 70-100 cm
(Kulingana na aina ya mbegu).Pandia DAP 5g /mmea.Hakikisha mbolea haigusani na
mizizi au Panda miche bila mbolea mwagilia maji na kisha tengeneza starter
solutions.NB:Chukuwa kilo 3 za DAP weka kwenye maji lita 200 na kisha kologa
mpaka mbolea yote iyeyuke na kisha chota kwa kutumia kikombe cha chai kidogo na
mwagilia miche yako aliyopanda siku hiyo,hakikisha maji yenye mbolea hayagusi
majani ya miche yako...mwagilia chini kwenye udongo tu sio majani.
MBOLEA.
Siku 10 Baada ya kupanda sasa endelea kukuzia
mbolea,wakati huu tumia Yaramila winner 5-10g kwa mche.NB:Usitupie
juu..hakikisha mbolea unaifukia kuzunguka mmea na usiweke karibu sana na
mmea,weka 4-6 cm kutoka kwenye mmea.
Na kila baada ya siku 21 weka mbolea aina ya
Yaramila winner au NPK Isipokuwa wakati maua yameanza weka Yaramila nitrabo au
CAN 10g /plant,na baada ya hapo utaendelea na Y-winner mpaka mwisho wa mavuno.
WADUDU
Pilipili mbuzi hushambuliwa na ;
A) Wadudu mafuta ( Aphids)
Pilipili mbuzi hushambuliwa na ;
A) Wadudu mafuta ( Aphids)
Kuwadhibiti.
Tumia Actara 8g/20L.
Au tumia wadudu wanaokula wadudu mafuta,mfano special beetles.
Au tumia wadudu wanaokula wadudu mafuta,mfano special beetles.
B) Crickets
Hawa wadudu hukaa aridhini karibu na mmea na usiku hutoka walipo jificha na kukata miche michanga.
Hawa wadudu hukaa aridhini karibu na mmea na usiku hutoka walipo jificha na kukata miche michanga.
Kawadhibiti.
Unapo andaa shamba andaa vizur ili nyumba zao zife na kuwaacha katka halu ya hatari ya kuliwa na ndege na wadudu wengine ,kama ni miche na iko kwenye tray...basi weka hizo tray juu ya kichanja.
Unapo andaa shamba andaa vizur ili nyumba zao zife na kuwaacha katka halu ya hatari ya kuliwa na ndege na wadudu wengine ,kama ni miche na iko kwenye tray...basi weka hizo tray juu ya kichanja.
C) Beetle.
Tuma Karate 40cm/20L.
Tuma Karate 40cm/20L.
D) Utitiri
Dawa:Tumia Dynamec au yoyote yenye Abamectin.
E) Nematodes na nk.
Tumia solvigo.
Tumia solvigo.
MAGONJWA.
1) Fusarium wilt (Mnyauko)
Njinsi ya kuepuka.
1) Fusarium wilt (Mnyauko)
Njinsi ya kuepuka.
.Tandika shamba lako na majani makavu ili
kupunguza joto.
.Ng'oa mimea yote iliyougua na choma moto mabaki.
.Epuka kusambaza ugonjwa kwa kusafisha vizur vifaa vya shamba na chini ya miguu uingiapo shambani.
.Jitahidi mimea iwe na afya nzuri kwa kuweka mbolea na maji ya kutosha.
.Pulizia dawa ya fangas kama vile ortiva.

2) Southern blight ( Sclerotium wilt)
Huu ungonjwa utaona kwenye shina china panaota fangasi weupeweupe (Whitish fungal growth on the stems of infected plant) .Majani ya chini huweza kunyauka,Huu ungonjwa hutokea muda mfupi kipindi cha joto kali.

Kuepuka/Kuzuia.
.Wakati wa kulima ..lima hadi chini sana ili hao fangasi waende chini sana ambapo mizizi haifiki.
.Mimea iliyoshambuliwa...Ing'oe yote na choma moto lakini chomea nje ya eneo la shamba.
.Pulizia Ortiva.

3) Anthracnose.
Huu ni ugonjwa wa kawaida kwenye pilipili
mbuzi na huu ugonjwa huweza kukaa ardhini muda mrefu.Dalili zake utaona matunda
kama kuna sehemu zinakuwa nyeusi na panajaa majimaji ...dalili hii huenea
sehemu kubwa ya tunda na baadaye tunda huoza.
Kuepuka.
Kuepuka ugonjwa kujirudia musimu na musimu..Baada ya kuvuna choma mabaki yote.
Kuepuka ugonjwa kujirudia musimu na musimu..Baada ya kuvuna choma mabaki yote.
.Shamba ambalo ulilima pilipili usirudie
kulima pilipili mfululizo zaidi ya mara mbili...badilisha zao kwa kupanda zao
ambalo sio jamii moja na pilipili mbuzi (Do crop rotation)
.Pia huu ugonjwa huweza kupitia mbegu...kwa hiyo mkulima lazima achukue mbegu kutoka kwa wakala aliyeidhinishwa na mwaminifu...mbegu hazitakiwi kutengenezwa kutoka kwenye mimea iliyoathirika na ugonjwa.

4) Bacteria.
Madoamadoa ya bacteria kwenye matunda....huweza kutokea na kusambaa haraka wakati wa joto kali na unyevu kwenye udongo.Pia huu ugonjwa huweza kuenea kupitia mbegu.
Madoamadoa ya bacteria kwenye matunda....huweza kutokea na kusambaa haraka wakati wa joto kali na unyevu kwenye udongo.Pia huu ugonjwa huweza kuenea kupitia mbegu.
Dalili zake utaona madoamadoa ya kama brown
chini ya majini na pia kwenye matunda.
Kuepuka.
.Usitengeneze mbegu kutoka kwa mimea
iliyoathirika na huu ugonjwa.Nunua kutoka kwa wakala.
.Pulizia dawa yoyote copper.
.Pulizia dawa yoyote copper.
5) Virusi.
Kuna aina nyingi ya virusi ambao hushambulia pilipili mbuzi.
Dalili zake ni majani kuwe ba njano na kujikunja .
Kuna aina nyingi ya virusi ambao hushambulia pilipili mbuzi.
Dalili zake ni majani kuwe ba njano na kujikunja .
Kuepuka.
.Nunua mbegu bora
.Pulizia dawa za wadudu kuanzia kwenye kitaru na kuendelea.Wadudu wanaosababisha virus sanasana na wadudu mafuta (Aphids) kwa hiyo akikisha muda wote shambani hakuna hao wadudu kwa kupulizia Actara.

NB:Pamoja na maelezo yote hapo juu.Usikae zaid
ya siku 14 bila kupiga dawa ya wadudu na ukungu/fangasi hata kama hakuna
ugonjwa wala wadudu.
Mavuno.
Utaanza kuvuna baada ya siku 90 tangia
uhamishie miche shambani na utaendelea kuvuna kwa muda wa miezi 6-12 kulingana
na matunzo yako.
Kila wiki unavuna na kila ukivuna kwa ekari
moja hutoa gunia 10-20 kulingana na huduma yako pia.
Soko na bei.
Soko la pilipili mbuzi Tz ni kubwa sana japo kuna muda zinashuka bei lakini bado mkulima anapata faida.
Soko la pilipili mbuzi Tz ni kubwa sana japo kuna muda zinashuka bei lakini bado mkulima anapata faida.
Bei ikipanda sana huwa Debe ni Tsh 30 000-60
000.Hii mara nyingi hutokea miezi ya 1-7 na bei ikishuka huwa Debe ni Tsh 10
000-25 000 .Hii mara nyingi hutokea miezi ya 7-12.
Changamoto
Usipozingatia maelekezo ya wataalam au wakulima wazoefu unaweza ukapata hasara kubwa.
Usipozingatia maelekezo ya wataalam au wakulima wazoefu unaweza ukapata hasara kubwa.
By Agronomist Peter
Kwa kutoa order ya mbegu
bora ya pilipili mbuzi/Pilipili Uganda, piga simu kwa Mkurugenzi mkuu wa AYEGRO
Group Ltd Tz, kwa simu no.
+255623642293.
+255623642293.
SOKO LA PILIPILI MBUZI
Na Hawa Mohamed na Tulinkisa Ndelwa
Kijiji cha Luganga katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
Vijijini kina wakulima wengi wa pilipili, Wakulima hao wanakabiliwa na
changamoto kadhaa katika kuwa na soko la uhakika la zao la pilipili
mbuzi.
Changamoto moja inatokana na ulimbukeni wa kukurupuka
kulima pilipili kwa wingi kwa kutarajia kuwa bei nzuri ya msimu uliopita ndiyo
itakuwa bei ya msimu unaofuata. Wakulima hao wamejikuta wakiingia katika mkumbo
wa kuchangamkia kilimo cha pilipili mbuzi kutokana na msimu mzuri
uliopita.Wakulima wengi hubabaika na hulima wakiangalia zao lenye bei nzuri na
pindi bei inapoporomoka na kuwatia hasara wakulima hao huamua kuachana na
pilipili mbuzi kabisa.
Mbali na hasara inayoweza kumkuta mkulima kwa kulima kwa
wingi kwa matarajio ya bei kubwa na hivyo kuchangia mavuno kufurika na kuharibu
bei, wakulima pia hukabiliwa na kutofahamu yaliko masoko ya bidhaa yao na hivyo
kulazimika kutegemea wafanyabiashara wa kati – madalali. Madalali hao hununua
pilipili mbuzi kwa bei ndogo kutoka kwa wakulima na kisha kuiuza kwa
wafanyabiashara wengine kwa bei kubwa.
Mkulima YOHANES JUMANNE katika kijiji cha
luganga, aliongea na IBER akasema alijiikuta anashindwa kung'ang'ania bei
ambayo ni kinyume na matakwa ya madalili. Aisema moja ya vitu vinavyomfanya
akose nguvu ya kudai bei bora zaidi ni kwamba soko linakuwa limefurika kiasi
cha kuwafanya wakulima wengine kuachana kabisa na kilimo cha pilipili mbuzi.
Aliongezea na kusema ufumbuzi unaweza kuwa eneo ambalo linatambulika wazi kuwa
ni soko la pilipili mbuzi.
Kuwepo kwa soko la kudumu ni kitu ambacho kinaweza
kumsaidia mkulima kupata kipato zaidi. Bei ya mazao inakuwa ni yakueleweka kwa
kuwa hakutakuwa na madalali, wakulima watapata fursa ya kujiendesha wenyewe pia
inaongeza ujuzi na maarifa juu ya soko na biashara kutokana na uwepo wa
wataalamu juu ya masoko.
FIKIRA KISSIMBA ni Katibu Tawala Msaidizi, Uchumi na
Uzalishaji, mkoa wa Iringa. Yeye alisema wakulima wasioweza kupata wateja wa
mazao yao kwa haraka wanapaswa kuwa na eneo ambako ndio pekee pauziwe mazao
yao.
Mindombinu ya uzalishaji, usafirishaji, uhifadhi na
usindikaji ni muhimu katika kuimarisha uhakika wa masoko ya mazao ya kilimo.
Japo bado kuna changamoto ya uelewa mdogo kwa wakulima. Licha ya kuwepo vikundi
mbalimbali vya wakulima, bado ni wakulima hawajajiunga kwenye vikundi hivyo
huathiri utendaji wa wataalamu wa kilimo. Jambo hili pia huchangia kukosekana
kwa taarifa muhimu ikiwemo namna ya kukabiliana na changamoto zinazowakumba
wakulima. Lakini wakulima wanapojiunga katika vikundi huku kila mmoja akiwa na
mawazo tofauti na mwenzake, hupelekea kushindwa kuafikiana. Kumbe, kama
anavyoeleza Katibu Tawala Fikira Kissimba, vikundi vyenye maafikiano vinaweza
kusaidiwa mbinu mbalimbali zinaoweza kukabiliana na kufurika kwa soko, ikiwa ni
pamoja na usindikaji wa mavuno ya ziada.
Faida ya wakulima kuwa kwenye vikundi inakwenda mbali
zaidi kuliko kuwapa nguvu kwenye soko. Kuwa pamoja kunaisaidia serikali au wadau
wengine kuwafikia wakulima kwa urahisi ili kutoa usaidizi wa kitaalamu wa
kuboresha zao lao.
Nae Afisa Kilimo kata ya Ilolo Mpya, BWANA PETER SHAYO,
alisema serikali inaweza kuwa na usaidizi mzuri kwa wakulima iwapo watalima
pamoja katika vikundi. Anasema hilo linaweza kusaidia hata kwenye upatikanaji
wa madawa.
Matokeo ya piilipili kufurika katika soko hupelekea
kuingia kwa madalali ambao wanawanyonya wakulima kwa kuwabana kwenye bei ya
shambani.
Nini kifanyike?
Kutengwa maeneo mahususi kwa uuzaji na ununuaji wa
pilipili kutawapa wakulima uhakika wa soko na kujikinga na madalali
wanaowanyonya. Nguvu ya wakulima pia inaongezeka kwa kuwa kwenye vikundi na
hivyo kutohitaji madalali, kwa kuwa pia wanaweza kusaidiwa mikopo, madawa na
ushauri na wadau wasiowanyonya. Na pia wakulima kupatiwa ustadi wa kusindika
mavuno ya ziada.